NAFASI ZA MASOMO – BOA 2022

Chuo kinatangaza nafasi za masomo kwa kozi ya Certificate in Business Operation Assistant (BOA).

Sifa za kujiunga na Kozi hii

Awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu angalau somo moja na kuendelea lisilo la Dini.

Usajili unaendelea chuoni, masomo yanaanza rasmi mwezi wa kwanza 2022

Wote mnakaribishwa